Watu wanahangaika wee na kutumia nguvu nyingi utazani waliongea na Mungu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Hawa wenzetu wanahangaika sana na kutumia nguvu nyingi utazani wameongea na Mungu wakati hakuna binadamu yoyote aijue kesho.

Sisi tunawaangalia tu ila nawakumbusha kuwa hakuna anaejua mipango ya Mungu hivyo wasijisahau maana ya kesho hakuna anayeyajua zaidi ya Mungu.

Wengine kwa saa ni yetu macho na masikio.
 
Aongezewe tu na ajira za sekt binafsi nazo zinayeyuka kwa mwendo kasi.....ajabu......ajira zinaondoka....sababu hakuna ubunifu ni matamko tu kwenye viwanda.....kwa wawekezaji ni visasi! Kodi kwa bunduki kodi hazina kichwa wala miguuu!!! Uchumi kurupuka.....!! Tunajuta!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom