Watu Wana Madharau!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Watu wengine bwana wana madharau sana. Haswa wakipata tu. Huwezi kuamini leo nampigia simu Obama Eti hapokei...! Na juzi tu hapa kabla ya uchaguzi alikuwa anani'beep ili nimpigie...! Kweli aliye pata m4t4ko ulia mbwata...!

Hii ni mssg nilipata juzi usiku kwa simu yangu, Nilipoanza kuisoma nilishtuka kidogo. Ila nilipoendelea kuisoma ndipo nikaelewa.
 
Back
Top Bottom