Labda Vijana Wa Mwendo Kasi Ndio Watakao Kuelewa.Retired awawezi kuelewa nazungumza NA vijana
Kumwelewa Pdidy hapa JF wahitaji nguvu ya ziada haswa.Binafsi Sidhani Kama Nimekuelewa.
Kwahiyo Vipi Mwezangu Umemuelewa ??Kumwelewa Pdidy hapa JF wahitaji nguvu ya ziada haswa.
Huwa tu nabahatisha bahatisha kumwelewa Pdidy wa JF, ni hivyo tu.Kwahiyo Vipi Mwezangu Umemuelewa ??
hahahaha ko wa nataka Google nde iwape majibu ..hahahahaha kaazi kwelii kwelii