Watu walivyofukiwa Bulyanhulu Gold Mine, kweli viongozi wa Tanzania mh

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Sio Siri Tena, iko wazi.

Watanzania kibao 4000 na zaidi walinyang'anywa ardhi bila fidia.

Pia watu zaidi ya 50 walifukiwa wakiwa hai katika mgodi wa Bulyanhulu.

SOURCE: Bulyanhulu Gold Mine
 
Hii ni hatari sana. Nafikiri wkt umefika tunahitaji kiongozi wa nchi mwenye sura mbaya/nzuri lkn ana machungu na mali zetu na maendeleo ya watanzania. Na lililo kuu ni kwamba awe na vision.
 
Hiyo sekenke ni chaka, ya ukweli iko singida iramba.
 
Ilikuwa ni agizo la Jk alipokuwa waziri wa nishati na madini, hii dhambi itamgharimu sana
Nakumbuka kipindi hicho TUNDU LISU alijaribu kuinua mdomo wake katika hili, almanusura auawe ashukuriwe Mungu alipata ujanja wa kukimbia nchi na kwenda Marekani kuhifadhi roho yake.
 
mrema wa tlp anijuwa vizuri alishawahi hata kwenda bulya sijui aliisha wapi.......
 
Tunahitaji uhuru wa kweli, demokrasia ya kweli, na mahakama iliyo huru mbali kutoka shinikizo la serikali.
 
We acha tu, marafiki zangu wasukuma ni wapole wanaonewa sana. Ingekuwa ni Arusha au Kilimanjaro, du pangewaka moto
 
Back
Top Bottom