Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,376
- 14,870
Hv bro unajua km DNA ya fraternity ni ya uzao??Hiyo ni katika Ethinicity kaka siyo katika fratenity------ sisi tunazungumzia juu ya FRATENITY DNA.
Ni hivi mimi na wewe tunaweza kuwa sawa katika DNA za Ethinicity lakini hatuwezi aslani kuwa sawa katika DNA za fratenity,, tunakuwa sawa katika ethicity kwa sababu ya eneo tunalotoka East Africa, ethicity ni kabila au jamii kubwa ya makabila wanakuwa na DNA zilizokuwa common kwa wao wote.
Ndiyo maana nilikuambia Adam hawezi kuwa ndiye aliyetuzaa watu wote duniani kwa sababu DNA za Ethinicity zetu hapa duniani ni tofauti sana kuweza kusema kwamba dunia nzima ni "one Ethnic" na hivyo tunatokana na one source.
Angalia DNA za fraternity , DNA zinazotambua udugu katika hiyo post yako wameandika ni 50% , kwa watu ambao sio ndugu katika fraternity DNA utapata 0%, lakini hapo hapo katika Ethnicity unaweza kupata labda 5% au chini au zaidi.
NdioAnswar??
How can siblings have different ethnicity with the same parents .
Kisome vema hiko kipengele.
Ila siblings wanaweza wakawa wAna different ethnicity DNA.Ngoja nikupe mfano; Waha, Wahangaza,Warundi hawa wote ni Ethinic group moja na Ethnicity DNA inafanana kwa wao wote.
Ethnic ni mkusanyiko wa makabila.
Lakini katika hayo makabila kuna ndugu wa damu na hapo ipo DNA ya fraternity kupima udugu wa damu.
Mfano mimi na wewe tunaweza kuwa na DNA moja ya ubantu (ethnicity) lakini hatuwezi kuwa na DNA ya udugu wa damu (fraternity DNA).
Mimi ninazungumzia juu ya fraternity DNA.kwahiyo watoto wa mzazi mmoja lazima DNA zao zitaonyesha % fulani kuwa wao ni ndugu (fraternal).
Eid Mubarak kaka, mimi nitaswali kesho.
Ila siblings wanaweza wakawa wAna different ethnicity DNA.
Na pia kuna possibility ya wao kuwa na different fraternity DNA.
Usikose kunialika
Mungu kamuumba Shetani ana uwezo tofauti na wetu.Naomba mwenye jibu la hili swali.Huyu SHETANI ana nini hasa mpaka anaharibu wanadamu na MUNGU anamuangalia tu badala ya kumchinjilia mbali??? hapa kuna ukakasi kidogo
He huamini Biblia??hapo umezungumza kwa majibu wa biblia ambayo tuchukulie ni kama theory.. sasa tuje kwenye uhalisia hivi Mungu atuchome kwa moto ili afaidike nini zaidi?
Kwanza Imani ya kweli kwa MUNGU wa Kwelikwa hiyo kumbe ni matendo mema yamfanyayo mtu kwenda mbinguni na si dini...sasa kwa nini watu warumbane kisa dini?
Quran Ni tofauti kabisa na Biblia. Inatofautiana kinadharia, dhana na hats kimapokeo.Mtu wa mwanzo kuumbwa alikuwa Adam kisha akaumbwa Hawa kutokana na Adam, baada ya kuumbwa walipewa muongozi wa kuishi na muumba wao, waliteleza katika kufuata maagizo hayo lakini waliomba msamaha na walisamehewa.
Maana ya neno Islam maana yake ni amani, kujisalimisha kwa Mola mlezi, watu wanafikiri dini ya uislamu ilianzishwa na Muhammad bin Abdullah (S.A.W.) hapana bali yeye ni mtume wa mwisho wa Allah, uislamu ulikuwepo toka uumbwaji wa dunia, tunaamini kila mtu aliyeamini kuwepo kwa Mungu mmoja asiyezaa wala kuzaliwa na hafanani na kitu chochote ni muislamu.
Mungu alikuwa akiteremsha wajumbe wake kutokana na utashi wake, ikiwa kuna watu ambao hawajafikiwa na ujumbe huo basi hao Mungu hawezi kuwahukumu, kwa kuwa alisema hawezi kuwaadhibu watu mpaka awapelekee mtume.
Cha msingi we fafanua kwa mujibu wa unavyojua. MUNGU Mwenyezi hatetewi Bali hujitetea.Kwenye Uislamu hakuna jambo kama hili. Huwa nashauri mkiwa mnasoma mambo kubusu dini fulani,msiishie kusikia tu,bali msome kweli na muelewe.
Unajua kama moto upo kabla viumbe hao ulio wataja ?
Halafu kusema hivyo ni kumvunjia heshima Mola aliye juu,vipi awe na bifu kwa kiumbe alichokiumba mwenyewe na mwenye uwezo wa kukifanya chochote wakati wowote ?
Toka yesu ameondoka duniani ilipita miaka zaidi ya 1000 ndio hizi dini zikaja huku kwetu afrika. Je watu waliokufa hapo katikati wakati dini hazipo wako wapi?Yesu alishuka kuzimu akahubiri injili na Siku ya tatu akafufuka hata waliokuwa hawajaokoka wakahubiriwa na kuokoka
Unajua maana ya kutetea ?Cha msingi we fafanua kwa mujibu wa unavyojua. MUNGU Mwenyezi hatetewi Bali hujitetea.
Ndio maana nimelitumia Hili nenoUnajua maana ya kutetea ?