Nkwakidudu
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 160
- 174
Agreed Sir.Kabla ya ustaarabu na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano haijakuwa, hapa namaanisha kusoma na kuandika pamoja na usafiri wa nchi kavu na majini, Mungu aliweka wateule wake kwenye kila jamii ya mwanadamu ili wawaongoze binadamu hao kulingana na vile Mungu anaona inafaa.
Ndio maana kila jamii ina kitu inachoamini ni Mungu. Mungu hajawahi kumuhukumu mtu kulingana na dini isipokuwa yale aliyomuagiza binadamu ayafanye.