fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 757
- Thread starter
- #141
sawa atakuja kuhukumu ulimwengu lakini si kwa wote kwa maana kuwa kama tayari umeshatangulia kusema kuwa kuna wawakirishi wa wafu na walio hai tayari wako mbinguni basi kumbe ni dhairi kuna ambao hukumu haitawahusuKama ndio maswali yako kabla hujauliza jibu hili fierceman
Ikiwa tayari watu wapo mbinguni Yesu atakuja kufanya nini?. Elewa kwamba wapo wachache waliochukuliaa kama mfano kuwawakilisha watakao kutwa wako hai na wengine walifuguliwa kuwakilisha UFUFUO WA PILI.
Kuhusu eliya na Henoko hawa wanawawakilisha wale ambao hawataonja mauti kabisa Kristo atakapo kuja mara ya pili 1Thesalonike 3:14-18
Lakini wale waliofufuka na Kristo baada ya siku tatu hawa wanawakilisha wafu waliopo makabirini wanaosubiri kristo mara ya pili.
Kuna dogma nyingi sana zinadanganya haswa ibada ya wafu kwamba wafu wanateseka au waombewe au wapo pagatori na mengine mwengi ya kimizimu. Ukitaka ufahamu soma andiko hili Ayubu 22:21