zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,688
Mkuu kabla sijakujibu mimi mimejibu kwa muktadha wa Biblia na pia hapo chini nikajibu kwa muktadha wa Qur'an kuhusu hii kesi ya waliokufa wataenda wapi.Na maswali yangu juu ya maelezo yako
1.mungu yu ajua yote ,je alipowachagua wayahudi hakujua watamsaliti ?
2.kwamba shetani aliudanganya ulimwengu? mungu alikuwa wapi ? Hakujua shambulio la ghafla?
3.Unaposema waafrica walikuwa na miungu yao na haikuwasumbua hadi mungu aliposalitiwa na vipenzi vyake israel ? Je mungu wa ibrahimu alikuwa unfair kuingilia watu na miungu wao ambao yeye hakuwachagua ?
4.unasema wanadamu wakiongozwa na adamu,adamu amewahi kuwa kiongozi wa wanadamu wote?maana wanaotakiwa waadhibiwe ni hao aliowaongoza.
ukiona huna jibu ya haya jiongeze wajinga ndio waliwao
Kila swali la imani lina majibu kulingana na kitabu cha dini fulani so mie nimetoa majibu huko sio maoni yangu bali ya Bible na Quran kama alivyotaka mtoa mada
So ukitaka kuuliza maoni yangu au existence ya huyo mungu hiyo ni mada tofauti kabisa inayostahili uzi wake