Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
538
Points
1,000
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
538 1,000
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
The only

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Messages
4,418
Points
2,000
The only

The only

JF-Expert Member
Joined May 19, 2011
4,418 2,000
Soma kisa cha mtu tajiri na maskini Lazaro katika vitabu vya injili Mathayo, Marko, Luka au Yohana utaweza kujua kuwa pepo na jehanamu vilikuwepo kabl hata ya ukristo/uislam...

Ukristo ulianza baada ya Kristo kutoweka duniani, lakini kisa hicho kinaelezea habari ya pepo na jehanamu wakati Kristo angali duniani...
hivi unawezaje mhukumu mtu bila sheria mliokubaliana akiwa na akili timamu?
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,498
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,498 2,000
Na maswali yangu juu ya maelezo yako
1.mungu yu ajua yote ,je alipowachagua wayahudi hakujua watamsaliti ?
2.kwamba shetani aliudanganya ulimwengu? mungu alikuwa wapi ? Hakujua shambulio la ghafla?
3.Unaposema waafrica walikuwa na miungu yao na haikuwasumbua hadi mungu aliposalitiwa na vipenzi vyake israel ? Je mungu wa ibrahimu alikuwa unfair kuingilia watu na miungu wao ambao yeye hakuwachagua ?
4.unasema wanadamu wakiongozwa na adamu,adamu amewahi kuwa kiongozi wa wanadamu wote?maana wanaotakiwa waadhibiwe ni hao aliowaongoza.
ukiona huna jibu ya haya jiongeze wajinga ndio waliwao
Mkuu kabla sijakujibu mimi mimejibu kwa muktadha wa Biblia na pia hapo chini nikajibu kwa muktadha wa Qur'an kuhusu hii kesi ya waliokufa wataenda wapi.

Kila swali la imani lina majibu kulingana na kitabu cha dini fulani so mie nimetoa majibu huko sio maoni yangu bali ya Bible na Quran kama alivyotaka mtoa mada

So ukitaka kuuliza maoni yangu au existence ya huyo mungu hiyo ni mada tofauti kabisa inayostahili uzi wake
 
Okay ni swali la dini so ntajibu kwa muktadha wa vitabu vya dini
1. Alijua ila hampangii mwanadamu, yeye kampa free will ndio maana kwenye Bible Yesu alifahamu Yuda atamsaliti ila bado aliendelea kuwa naye.

2. Alijua anaudaganya ulimwengu na alimruhusu hata ukisoma Ufunuo 21 alimuacha shetani kudanganya ulimwengu mzima alivyotaka??

3. Hapa nlichosema ni kwamba Bible inadai kuwa Adam alikuwa mtu wa kwanza kuchaguliwa na Mungu kama msimamizi wa ufalme wake duniani ila alisaliti kwahiyo Mungu wa Biblia akavunja uhusiano na dunia nzima ndipo baadae akauanzisha tena na Abraham/ wayahudi.

Sasa wakati huo kila nchi ilikuwa na miungu yake sema tofauti ni kwamba hiyo imani ya Mungu wa Biblia ndio ilisambazwa baada ya hao wayahudi kumsaliti Mungu wa Biblia.

Hiyo imani ndio ikasambazwa Afrika,ulaya na dunia nzima hivyo kama sio kwa hao wayahudi kusaliti basi kila mtu angebaki na imani yake kama zamani.

Kwahiyo nyie mnaolaumu Mungu wa biblia kusambazwa ndio mueleze mababu zetu walikua wapi kusambaza dini zetu uarabuni na ulaya ili leo hii wamuamini miungu wetu wa kiafrika??

4. Yes kibiblia wanaamini Adam ndio mtu wa kwanza kuchaguliwa kuisimamia dunia (Wengine wakiamini ndio binadamu wa kwanza). Hivyo basi yeye kusaliti ndio kulivunja agano lake na Mungu wa Biblia kwa dunia nzima.

NB: Tanzania ya leo zaidi ya 70% ni vijana na hawakuwepo kipindi nyerere anapitisha ujamaa ila madhara ya zile sera mpaka zisizowahusu zimewaathiri. Kwahiyo Swali kwamba kivp adhabu isiishie kwa aliekubaliana naye pekee inafia kwa logic hii maana huyo Mungu wa Biblia alisema adhabu kwake inapitiliza hadi vizazi vyako.

Kama kuna swali jingine uliza
 
The only

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Messages
4,418
Points
2,000
The only

The only

JF-Expert Member
Joined May 19, 2011
4,418 2,000
Mkuu kabla sijakujibu mimi mimejibu kwa muktadha wa Biblia na pia hapo chini nikajibu kwa muktadha wa Qur'an kuhusu hii kesi ya waliokufa wataenda wapi.

Kila swali la imani lina majibu kulingana na kitabu cha dini fulani so mie nimetoa majibu huko sio maoni yangu bali ya Bible na Quran kama alivyotaka mtoa mada

So ukitaka kuuliza maoni yangu au existence ya huyo mungu hiyo ni mada tofauti kabisa inayostahili uzi wake
ok nilidhani na wewe unaamini hizo mavitu ,basi mkuu nimekuelewa
 
lemone grass

lemone grass

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Messages
225
Points
250
lemone grass

lemone grass

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2016
225 250
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Nachoamini, sio dini wala dhehebu vitakavyompeleka mtu peponi. Lakini; upendo, utu wema, fadhili na moyo safi ndiyo njia za kumpeleka mtu mbinguni {kwa tunao amini}. Sio sahaihi kusema dini yetu wala dhehebu ndilo bora kuliko mengine, la hasha, dini iwe muongozo wa kutenda mema na kuhwshimu wengine.
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
817
Points
500
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
817 500
Waliokuwa na matendo mazuri walikwenda peponi. Nawaliokuwa na matendo mabaya walikwenda motoni. Kwasababu hata hizi dini zimekuja ili tuwe na matendo mazuri.
 
W

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Messages
749
Points
500
W

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2015
749 500
Kabla ya ustaarabu na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano haijakuwa, hapa namaanisha kusoma na kuandika pamoja na usafiri wa nchi kavu na majini, Mungu aliweka wateule wake kwenye kila jamii ya mwanadamu ili wawaongoze binadamu hao kulingana na vile Mungu anaona inafaa.
Ndio maana kila jamii ina kitu inachoamini ni Mungu. Mungu hajawahi kumuhukumu mtu kulingana na dini isipokuwa yale aliyomuagiza binadamu ayafanye.
Kwa hiyo dini za kiafrica/kimila Mungu anazitambua ila sisi tumekimbilia dini za Wazungu
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
737
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
737 225
Mungu kawapa binadamu free will yaan kuchagua ni sifa kubwa sana hiyo
Mungu anaujua mwanzo wako n mwisho wako sasa kwanini wakati anajua wewe mwisho wako ni jehanam na alikuumba hivyo hivyo uishi... Kwanini asikuumbe na kukupeleka jehanam moja kwa moja?

Kwani Mungu akikuchoma moto atakua anafaidika na nn? Ama sisi tutajifunza nn maana hatuoni huo moto ukiwachoma zaidi ya kutishana tuu
 
digba sowey

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,596
Points
2,000
digba sowey

digba sowey

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,596 2,000
Hivi watu wanamchukuliaje mungu,ni kitu chenye umbo au ? Kiufupi mungu in nguvu ya asili yenye uwezo zaidi(super natural power ) nguvu hiyo inaamini katika kutenda mema tu, hivyo ukienenda kinyume nguvu hiyo inao uwezo Wa kukuadhibu
 
Ibn Ayoub

Ibn Ayoub

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2015
Messages
2,051
Points
2,000
Ibn Ayoub

Ibn Ayoub

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2015
2,051 2,000
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Ikiwa unakubari kuwa adamu ndie binadamu wa kwanza tambua pia kuwa aliishi kwa mujibu wa mafundisho ya dini ila sheria huwa inabadilika zama hadi zama kuna vitu hapo mwanzo vililuhusiwa na sasa vimekatazwa na kinyume chake
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,560
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,560 2,000
Nachoamini, sio dini wala dhehebu vitakavyompeleka mtu peponi. Lakini; upendo, utu wema, fadhili na moyo safi ndiyo njia za kumpeleka mtu mbinguni {kwa tunao amini}. Sio sahaihi kusema dini yetu wala dhehebu ndilo bora kuliko mengine, la hasha, dini iwe muongozo wa kutenda mema na kuhwshimu wengine.
Hayo maelezo mkuu umeyatoa tu kichwani mwako mwenyewe au kuna sehemu ulipoyatoa? nasema hivyo kwa sababu kuna wengine wanasema Mungu hajishughlishi na matendo yetu kwa maana sie hatujui kwa nini katuumba na kuamua tuwe hapa duniani hivyo vyovyote tuishivyo ni sawa tu iwe kwa upendo au kwa chuki.
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,560
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,560 2,000
Hivi watu wanamchukuliaje mungu,ni kitu chenye umbo au ? Kiufupi mungu in nguvu ya asili yenye uwezo zaidi(super natural power ) nguvu hiyo inaamini katika kutenda mema tu, hivyo ukienenda kinyume nguvu hiyo inao uwezo Wa kukuadhibu
Ni mawazo yako binafsi au hayo maelezo umeyapata wapi?
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,129
Points
2,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,129 2,000
Wayahudi au Jews walikuepo kabla ya kuja kwa ukristo na uislam
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
DA HUSTLA

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
1,092
Points
2,000
DA HUSTLA

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
1,092 2,000
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
Swali kwa kipindi hicho ambacho dini hazijaja wema na uovu ulipimwaje?maana kwenye hivi vutabu vya dini wengine wanatuambia pombe au kitimoto ni dhambi while wengine ruksa
 
lutemi

lutemi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Messages
1,203
Points
1,500
lutemi

lutemi

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2013
1,203 1,500
nikikuuliza Elia au Yesu walipaa kwenda wapi utajibu nini? Na pia katika maandiko kinachokufa ni mwili na si roho na pia Yelu mwizi aliyeahidiwa na Yesu pale msalabani(mtini) kuwa hakika leo utakuwa nami kwa BABA mbinguni unataka kuniambia hadi leo hajafika tu peponi(mbinguni) kwa maana si umesema wote wafao wako kaburini hadi sasa?
Kama ndio maswali yako kabla hujauliza jibu hili fierceman
Ikiwa tayari watu wapo mbinguni Yesu atakuja kufanya nini?. Elewa kwamba wapo wachache waliochukuliaa kama mfano kuwawakilisha watakao kutwa wako hai na wengine walifuguliwa kuwakilisha UFUFUO WA PILI.
Kuhusu eliya na Henoko hawa wanawawakilisha wale ambao hawataonja mauti kabisa Kristo atakapo kuja mara ya pili 1Thesalonike 3:14-18
Lakini wale waliofufuka na Kristo baada ya siku tatu hawa wanawakilisha wafu waliopo makabirini wanaosubiri kristo mara ya pili.

Kuna dogma nyingi sana zinadanganya haswa ibada ya wafu kwamba wafu wanateseka au waombewe au wapo pagatori na mengine mwengi ya kimizimu. Ukitaka ufahamu soma andiko hili Ayubu 22:21
 
Forum statistics

Threads 1,304,151
Members 501,282
Posts 31,504,691
Top