Watu wakishachoka na JK huwa hivi...

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
323
Huyu kijana hata hakujua ujumbe wake aupeleke wapi doh! Sijui ndio kuchoka huku?

 
Last edited by a moderator:
Ukumbi wa burudani umejaa nini?

Kwani huu wimbo upo kiburudani au kisiasa Kibunango ingawa Mods wameipeleka kwenye hoja mchanganyiko, niliuweka kwenye Siasa kwa sababu upo Kisiasa.

Mods urudisheni kule sio haki namna hii....
 
Back
Top Bottom