Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Hivi kwa jinsi hawa watu waliopewa dhamana wanavyopanga maamuzi yao na kuyatekeleza huku wakiathiri zaidi maisha ya watu tutakuwa tunakosea tukisema awamu hii imejaa decision makers wanaofanya maamuzi kwa kukurupuka?
Mwisho wa siku hawa watu watakuwa rafiki wa nani?
Hivi hakuna umuhimu wa kuhakiki vyeti vya hawa watu maana maamuzi mengine hata mtu wa darasa la saba hawezi kuyafanya.
Nawaambia hawa watu kuwa hakuna jambo jema ambalo litafanywa kwa kukurupuka na kutaka sifa litakoleta matokeo chanya hata siku moja.
Mtaishia kuchukiwa na kudharaulika na kila mmoja.