Watu wahoji kwa nini CHADEMA imeanza kupunguza kasi ya kudai Katiba Mpya

Hao wananchi wako pembeni wanasubiri tu CDM wakawasaidie kuidai katiba mpya! Wao wanataka katiba mpya lakini hawathubutu kuidai, bali wameona ni wajibu wa CDM. Basi CDM wamechoka, kwakuwa na wao wanaitaka na CDM hawajawazuia kuidai, basi wajitokeze waidai.
Chadema nao ni wananchi pia, ni taasisi iliyojipa dhima ya kupigania katiba mpya, kwenye ilani zake, kwenye maazimio yake ambayo waliyatangaza public, kwa kauli za viongozi wake, etc.

Hata wananchi wengine wasio na vyama nao wanapigania katiba mpya mfano Askofu Bagonza, Niwemugizi, wanaharakati mitandaoni , etc
 
IMG-20220603-WA0028.jpg
 
Back
Top Bottom