OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,034
- 114,450
Katika kuendeleza utamaduni wa kupunguza ukali wa maneno nashauri hivyo. Kama ilivyo kwa Zeruzeru kuitwa mwenye albinism, kilema mwenye ulemavu wa viungo, kipofu kuitwa mlemavu asiyeona. Hivyo hata Mbilikimo wapewe staha na kuitwa Mtu mwenye ulemavu wa Ufupi.