Watu wabishi hapa JF ni kina nani?

hawa ndio wanaongoza kwa ubishi humu JF
190397_115568648518471_100001960098301_122797_6121656_n.jpg
mhh picha imeongea mengi hii....ulimwengu huu huu kweli tusijisahau!
 
Mimi, pamoja na JF members wote, ndio maana nyuzi zinakuwaga ndefu!
 
1. lizzy
2.Dena hapa sijui ni ubishi au kiherehere

Ha ha ha ha ha umenifanya nilale usingizi mnono sana leo..................................

Kutoka kushoto mstari wa mbele...Fidel80,Kaizer,Teamo,MJ1,FL1,Asprin,Wl,INVIZIBO,AD,DA ...n.K

Kutoka kushoto mstari wa mbele...Fidel80,Kaizer,Teamo,MJ1,FL1,Asprin,Wl,INVIZIBO,AD,DA ...n.K
Nimequote mara mbili kwa msisitizo
Dena Amsi
Nilijua tu lazima unitaje

1. lizzy
2.Dena hapa sijui ni ubishi au kiherehere

Msisitizo sante sana......................ha ha ha ha
 
Dada, nkiki...kweli watu wamekuamulia! Na wahenga walisema, "Lisemwalo lipo..."Unanifanya nianze kupitia posts zako moja baada ya nyingine...
Hahahah...chuki binafsi tu inawasumbua...mimi na ubishi ni kama ardhi na mbingu bro!
 
Back
Top Bottom