FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Kumekuwepo na shida kubwa kwa miaka sasa ya makundi niliyoyataja hapo juu wakati wa uingizwaji wa vocha na wengine wana uoni hafifu, na wengine kusahausahau, sasa nini kifanyike ...
Inabidi makampuni haya yaanzishe program itayohisi (sense) kwa kuweka ki magnetic kadogo ktk vocha na line ili pindi mteja akwanguapo vocha na kuielekezea ktk simu na vocha kuingia moja kwa moja kinachobaki ni mteja achague huduma anayotaka kampuni itayopenda kuifanyia kazi idea yangu basi inilipe na kuniajili,
Shukrani