Watu wa UK tazameni Channel 4 sasa hivi

Samvulachole

JF-Expert Member
Oct 22, 2006
413
117
Wabongo wanahojiwa na kipindi ni one hr

Admin hebu iache kwa muda hapa
Kipindi kinaitwa Dispatches: Immigrants- The Inconvenient Truth

Channel 4 News presenter Jon Snow reveals the contributions to the economy of immigrants, drawing on statistical information gathered by the Institute for Public Policy Research. The data breaks down 25 of Britain's biggest groups to paint a picture of the one in six people living in the UK who were born abroad.


sasa kuna wabongo wamehojiwa hapo
 
Tupe hint wanahojiwa juu ya nini?

Jon Snow looks at pressing and hotly debated issue in UK and reveals the contributions made by different immigrant groups......................

High earners from USA and Canada followed by SA. It is believed that Nigeria is leading in providing nursing jobs and without then NHS will collapse.
 
ebwana ndugu zangu mlioko UK mna mpango gani siku ya Kumbukumbu ya Mwal. Nyerere maana kama kutakua na kongamano ningependa kutoa maada kama jina langi linavyosomeka hapo juu me niko Cardiff so naomba mnipe kama kuna ratiba yoyote nijue maana wenzetu wakiwa kwetu hufanya makongamano hususani pale UDSM.
Naomba kujua enyi mlioko UK
 
Hawa wazungu wabaguzi sana wanaupendeleo kwa wazungu wenzao wa commonwealth kutoka SA, Australia na New Zealand na raia wanaotoka EU. Kuanzia mwakani watatoa vitambulisho kwa wageni wote kwa kuanzia na baadaye raia wa UK kwa ujumla. Bila kusahau USA ambao vile vile ni swaiba wao.

Swala kubwa linalojadiliwa hivi sasa ni serikali ya G. Brown kutoa amnesty kwa wazamiaji kutoka hasa bara la Afrika ambao wanakaribia 600,000 hadi 800,000. Hawa wote wanafanya kazi sehemu mbali mbali kwa ujanja ujanja tu bila kuwa na vibali vya kufanya kazi, utawakuta BBC (British Bottom Cleaners) wakiangalia vizee ambavyo havijiwezi kwenye nyumba zao vinavyosubiri kuaga dunia (Homes) lakini wanalipwa pesa ambayo ndio wamesema leo £5.52 kwa saa. Weusi wanapigwa vita zaidi kwa sababu ya rangi yao vile wanajulikana kwa urahisi.

Kutokana na mashindano ya olympis hivi sasa rates za engineers ni kuanzia £50 kwa saa kwa wale ambao ni chartered na wa kawaida kuanzia £25. Square mile inategemea na experience yako utaweza kuanzia £20 hadi £75 kwa saa.

Angalia What a Degree's Worth?

In general Jon ameongelea pro and cons za immigrants lakini tatizo kubwa ni kwa wengi kutoka Afrika ambao education yao ni ndogo na mara nyingi hawafahamu haki zao.
 
Back
Top Bottom