Watu wa UK mmechoka sana

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
816
Unajua kuna watu wanapiga mapicha kila kukicha kwenye hizo promosheni lakini kinachonisikitisha jinsi mlivyochoka na hasa watu wa BIRMINGHAM na LEICESTER


Nazungumzia kuanzia sura zenu mpaka mavazi

jamani hebu jitahidini jamaa haya mambo ya kuagiza nguo toka bongo mnawakatisha tamaa ndugu zenu

noma tupu

ni maoni yangu tu hayo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom