Watu wa sayansi: Toeni ufanunuzi katika hili. Je, kuna uhusiano wowote kati ya radi na madini?

Na vp kuhusu radi wanazotengeneza 'wazee' kwa mbinu za kijadi je kuna ukweli na hapo?.

Exception cases zipo karibu katika kila kitu! Umeishasema YA KUTENGENEZWA; radi zinazoongelewa hapa naamini ni zile zinazotokana na nguvu asili (mother nature)....haina mkono wa mtu!
 
Mimi ni mtaalamu wa mambo ya umeme,nakumbuka chuoni nilijifunza vyanzo au visababishi vya electron flow katika maada.Moja ya chanzo ni radi.Hiki ni kisababishi cha kutokea kwa umeme katika space,ambapo umeme huu hujiambukiza ktk kitu chochote Kilicho ktk space chenye sifa ya kuweza kupitisha umeme,na reaction ya kitendo hiki etategemeana kiwango cha kupitisha umeme cha maada iliyoambukizwa umeme huo pamoja na uhusiano wa maada hiyo na ardhi.(UMEME WA RADI NI UMEME UNAOKUMBWA NA IMANI POTOFU,NA NI UMEME UNAOTIZAMWA KATIKA JICHO LA NADHARIA ZA KISHIRIKINA.IMANI HIZO SIZA KWELI!UMEME WA RADI NI UMEME KAMA ULIVYO MEME MWINGINE WOWOTE!NA MTIRIRIKO WA CURRENT WA UMEME HUU NI DIRECT CURRENT(DC)NDIOMANA UNAKUA NA MADHARA MAKUBWA SANA PALE UNAVYO ATAKI ENEO FULANI!Kwa kifupi kuna uhusiano kati AINA YA MADINI NA RADI NA SIO KILA MA DINI,uhusiano huu una simamia katika conductability ya madini husika!(Natumia simu kuandika post hii hvyo muundo wangu wa insha naamini si wa kulidhisha).NAAMINI NINA NAMAJIBU YA KISAYANSI JUU YA IMANI MBALIMBALI KUHUSU UMEME WA RADI.NA UHUSIANO WA IMANI HIZO NA TENDO HUSIKA.uliza swali lolote(au imani yoyote inayo kutatiza)kuhusu ladi .
 
Almas sio conductor ya umeme, wala sio miongoni mwa metallic minerals iko kwenye gems
Kwa hiyo bado haiwezi support radi

Mbona ckuelew? madini yanavuta rad kivp?nimekaa kongo bhatinda ambapo almac inapatkana kwa wing,cjaona rad ya kusumbua kiac cha kusema et coz kuna madin.labda ni logic zenu 2 but u have 2 prove it.au nenda sehem inaitwa holili boda ukaone madin ya pozzolanna.mbona rad n' za kawaida kabisa!
 
Kama nimemwelewa mtoa mada vizuri alikuwa anajaribu kuuliza kama madini ambayo ni conductor ya umeme, je yana-act catalyst in relation na radi?

Ndio maana nikamjibu awali sioni uhusiano huo kwa sababu kaongelea Dodoma kama mojawapo ya maeneo yenye radi nyingi. Nikilinganisha Dodoma na kanda ya ziwa, bado kanda ya ziwa ilitakiwa kuwa na radi zaidi ya Dodoma maana miamba inayoshikilia dhahabu aina ya greenstobe belt kutokana na composition yake kubwa ya iron, nickel, silver, copper n.k nilitegemea kuona radi kuliko dodoma ambako partly kuna dhahabu partly uranium. Part kubwa ya mawe ya dodoma ni granite, geniss and the like ambapo composition yake ya mineral sion kama ni conductor ya umeme.

Back
Top Bottom