Watu wa RORYA tujitokeze kwa wingi kutoa maoni ya katiba tar 24/11/2012

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Ndugu wananchi wa Rorya tujiandae kutoa maoni juu ya Katibu Mpya na Tanzania tunayoitaka tarehe 24/11/2012 pale Shirati Obwere na maeneo mengine ndani ya wilaya ya Rorya na kata mbalimbali kulingana na ratibu ya tume ya kukusanya maoni!
 
Back
Top Bottom