Watu wa Procurement and MaAccountant baadhi

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,221
1,827
Natumaini wazima,

Naombeni msaada wa kuelewa hizi quatation zinanichanganya sana, mie nimesomea fani nyingine kabisa ila nataka kujuwa hizi kutokana na shughuli zangu ninazao zifanya.
yani Nataka kujuwa

FIRST QUATATION-hapa kuna kuwa na document gani
SECOND QUATATION-pia hapa kuna na document zip
THIRD QUATATION-pia na hapa
Pia zinakaaje kwenye series

Mwenye uelewa na haya maquatation please anisaidie au kama kuna document yoyote inaweza nipa mwanga ,
Note
Nimejaribu kugoogle sijaelewa kitu

Pro_forma, Invoice & GRN(goods receipt note/delivery note)
 
Natumaini wazima,

Naombeni msaada wa kuelewa hizi quatation zinanichanganya sana, mie nimesomea fani nyingine kabisa ila nataka kujuwa hizi kutokana na shughuli zangu ninazao zifanya.
yani Nataka kujuwa

FIRST QUATATION-hapa kuna kuwa na document gani
SECOND QUATATION-pia hapa kuna na document zip
THIRD QUATATION-pia na hapa
Pia zinakaaje kwenye series

Mwenye uelewa na haya maquatation please anisaidie au kama kuna document yoyote inaweza nipa mwanga ,
Note
Nimejaribu kugoogle sijaelewa kitu

Maelezo yako hayajanyooka, japo mimi sio mtaalam wa procurement.

Naelewa kwamba ili evaluation ifanyike lazima uwe umepata proforma invoice 3 au zaidi. Na kawaida kama ofisi yako inanunua kitu, lazima watakuwa wameainisha kwamba Kama bei ya hicho kitu ni zaidi ya laki tano basi lazima zipatikane proforma zaidi ya tatu.

Kwa maana kwamba lazima uanishe proforma invoice ya kwanza ilikuwa ya Kampuni ipi mpaka ya tatu.

Kama kuna table, ainisha hizo proforma invoice tatu kwa kutaja kampuni na bei walizotoa.
 
Back
Top Bottom