Watu wa nyota ya gemini

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,647
Watu wa nyota ya Gemini au Mapacha kwa kimatumbi ni waliozaliwa kati ya Mei 20 ........Juni 21.

Watu wa nyota ya mapacha huwa na tabia na sifa zinazo fanana, baadhi ya tabia kuu za watu wa nyota ya Gemini ni kama ifuatavyo :

1. Watu wa nyota ya Gemini huwa wanajifanya wanajua kila kitu na wanapenda kuabudiwa.

Mfano : Christina Manongi a.k.a Sintah, Khaleed Mohamed , a.k.a T.ID , Diva Loveness wa Clouds kwa kutaja wachache

2. Pia ni watu wanao jidai sana ( i mean wanajiabudu na kujitukuza na hutaka kila mtu awaabudu ama atambue ukuu wao ).

Mifano: T.I.D, Sintah, & Diva.


3. Watu wa nyota ya Mapacha huwa wanafanya vizuri zaidi katika tasnia ya sanaa ( Muziki& filamu), uandishi, media, na michezo mbalimbali.

Mifano : Muziki : Tupac Amaru Shakur , Notorious B.IG a.k.a Biggie Smalls, a.k.a Frank White, T.I.D, LADY Jay Dee, Kanye West kwa kUtaja wachache .

Filamu : Angelina Jolie.
Media : Reginald Mengi
Michezo : Steven Gerlad, Allen Iverson kwa kuitaja wachache.
Mitindo : Naomi Cmapbel.



Katika kila carrier wanayo ifanya siku zote watu wa nyota ya mapacha huwa wa kipekee. Upekee huo waweza kuwa in a positive or negative manner. Hebu tazama baadhi ya watu wa nyota ya mapacha ambao wamekuwa/walikuwa wa kipekee katika carrier zao.

1. George Bush Junior.......Rais Wa Marekani kabla ya Obama.

2. Tupac & Shakur & Notorious B.IG ( Cum on, do i need say more ? )

3. Banki Moon

4. T.D Jakes

5. Ice Cube

6. Allen Iverson
7. Angelina Jolie.
8. John F. Kennedy
9. King James I
10.King Charles II
11. King George III
12. King George V
13. Henry Kissinger.
14. Lady JayDee
15.Anna Kournikova
16. Lisa Lopez ( Left Eye )
17 Steven Gerlad
18. Pope George XIII
19.Queen Victoria.
20. Lionel Richie
21. Salman Rushdie
22. Venus Williams

LIST NI NDEFU SANA SIWEZI MALIZA YOTE.

BOTTOM LINE : WATU WA NYOTA YA MAPACHA NI WATU WENYE MVUTO WA AJABAU SANA KATIKA MAMBO WANAYO YAFANYA.
 
Waheshimiwa tukaee!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi nina sifa hizo lakini nyota yangu sio mapacha. Fanya kazi achana na usheikh Yahaya, hauna nafasi ktk globalization.
 
Mkuu pamoja na watu kufikiri hii ni taaluma ya shehe yahaya lakini kuna ukweli kidogo.
Mimi ni gemini na nina kyombo kya bahari for fun na kina fuanya fisuri!
 
Kwema ndugu yangu soma lako liliishia njia wengine tulikuwa tunapata darsa ghafla ukaingia mitini kulikoni ?.


Somo lipi kaka, maana nimetoa masomo mengi sana hapa JF
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom