LVB iko katika hatua nzuri tunaendelea kukusanya data, tunaomba kama kuna yeyote anayejua kata za wilaya zifuatazo, nyingi ni wilaya mpya.
Kata za wilaya ya
1. Chato na Mbongwe-Mkoa wa Geita.
2. Misenyi, Muleba na Kyerwa-Mkoa wa Kagera.
3. Busega, Itilima-Mkoa wa Simiyu.
4. Butiama-Mkoa wa Mara.
Unaweza kutuandia hapa au kwenda kwenye blog yenyewe www.lakevictoria.blog.com na kutafuta kurasa za kata zake na kuziandika humo.
Asanteni.
Asante MCHUMIPESA ukurasa wa wilaya ya Mbongwe huu hapa http://lakevictoria.blog.com/mbongwe/ unaweza kwenda moja kwa moja hakuna haja ya kusajili huko.Mim naifahamu mbogwe.
Mkuu Mwita Maranya ulikuwa kama mtabiri vile, hakika nawapongeza sana waliobuni hii blog hakika inatia moyo kuchangia masuala ya nyumbani kabisa popote unapokuwa na itakuwa rahisi kujua kinachoendelea kwenye kata unayotoka. Hongereni sana.Lake Nyanza Blog?
Lake Zone Blog?
Lake Victoria Blog?
LVB iko katika hatua nzuri tunaendelea kukusanya data, tunaomba kama kuna yeyote anayejua kata za wilaya zifuatazo, nyingi ni wilaya mpya.
Kata za wilaya ya
1. Chato na Mbongwe-Mkoa wa Geita.
2. Misenyi, Muleba na Kyerwa-Mkoa wa Kagera.
3. Busega, Itilima-Mkoa wa Simiyu.
4. Butiama-Mkoa wa Mara.
Unaweza kutuandia hapa au kwenda kwenye blog yenyewe www.lakevictoria.blog.com na kutafuta kurasa za kata zake na kuziandika humo.
Asanteni.
Asante metronidazole kama ukitembelea ukurasa wa wilaya ya Busega tumesha update kama ulivyochangia. Tunawashukuru nyote muendelee kutusaidia data za sehemu mbalimbali, lengo letu Forum itakayoanzishwa iwe imetokana na michango yenu.busega kata zake ni 13..nazo ni malili,kabita,badugu,mwamanyili,ramadi,kalemela,ngasamo,shigala,nyaluhande,mkula,lutubiga,igalukiro na maja nimeisahau
Msituone kimya tulikuwa tunahangaikia vitu vifuatavyo ambavyo sasa vimepatikana,
1. Tumenunua DOMAIN yetu,
2. Tumepata SERVER yetu, na mwisho hatimaye
3. Tumepata HOST ambayo itakuwa nje ya nchi, kwa wanaoelewa IT hivi vitu si haba, we are serious on that and we mean business.
Kwa nini tunachelewa kuzindua LVB, kwa vile tumepata hivyo vitu hatutakuwa Blog tena tunaanzisha FORUM, kwa wanaojua tofauti ya blogs na forums watanielewa nasema nini. Kwa hiyo tegemea kitu kikubwa na professional toka LVB.
LVB Admin.
Asante Sunday Ngakama uwe unatembelea blog kwenye www.lakevictoria.blog.com. au unaweza kujaribu forums kwenye www.safariforums.com.Hongereni sana kwa hatua mliyofikia, tunasubiri kwa hamu hiyo Forum.