Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Ingewezekana wangewaletea yule Sukuma ndani😅😅😅
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Huyu ni mtani wenu mtaenda nae sawa tuu.
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Hahahaha huyu mkamlaze makaburini tu kwani Sima si yupo?

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mlazeni nje siku mbili ya tatu atarudi alikotoka bila kuaga - kazi hii kwenu mbona ni mdogo saana!!
Umeona eeh, akileta ujinga tutamlaza juu ya mti ataondokea huko huko mtini
 
Huyu mjinga anaondoka huko mbeya ameacha crisis kubwa sana kwenye sekta ya usafili wa uma. Leo nadhani ni wiki sasa magari ya kubeba abilia yako kwenye mgomo, sipati picha wakazi wa mbeya wanapitia tabu ya namna gani.

ni mtu anayeongea sana lakini hana maamuzi isipokuwa yale yaliyotoka juu yake.
Ameshasema atasovu tatizo
IMG-20210515-WA0022.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom