Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,641
2,000
Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa! Geita kama mkoa yenyewe bado kufikia hiyo milioni mbili. Geita kama mkoa ina idadi ya watu 1,739,530 kulingana na sensa ya mwaka 2012. Ushabiki mwingine muwe mnasoma basi kuuficha ujinga.
Wao ni kufuata tuu mkumbo wa mwenda zake
 

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,266
2,000
Kutoka kwenye wilaya zitakazounda mkoa mpya.

Kwa hiyo Chato yenyewe haikidhi vigezo… inabidi imegewe maeneo

Then Tibaijuka is right… thats exactly what Tibaijuka isa saying… Heko Mama Tibaijuka

Kinachonisikitisha ni kwamba Kagera na sifa zake zote za usomi na uwezo wa watu wao yani amejitokeza mtu mmoja tu nchi nzima mwenye ujasiri wa kuhoji na kupinga azma ya serikali kumega mkoa wao wa Kagera…. ajabu sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom