Kuishi town kazi sana
Watu wanaishi maisha ya kujionyesha angali hali zao za kiuchumi haziendani
Ukitaka kuona wanavyoteseka mwambie Nakuja mjini naomba nifikie kwako kwa siku mbili tatu.
Utashangaa jamaa atakavyokupa sababu lukuki ili tu ajinasue na kuku -host.
Shida yenu ni ipi
Misosi hakuna? au maisha ya budget ?
Au hamna pa kulala coz wengi wenu mnaishi vyumba viwili.
Ikitokea mgeni kupitisha siku alizosema ataondoka .....
utashangaa mnuno huo utakaopewa kuanzia ,wake zenu, watoto wenu ata dada wa kazi....... How pathetic Life is this?
Nawaulizeni tena watu wa mjini ,nyie upendo huwa mnautoa kwa wake na waume zenu tu?
Mbona mko wabinafsi hivyo?
Hamtaki ndg, jamaa wala wazazi wenu wawatembelee ,kisa usasa wenu na ubinafsi.
Mmepoteza uvumilivu kabisa
Hamtaki kujitesa na kujinyima hata kwa siku chache.........
Jamani njooni mjini muone vituko vya watu hawa.
Karibuni, povu ruksa