Watu wa Mjini hawana upendo

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,315
1,366
Kuishi town kazi sana
Watu wanaishi maisha ya kujionyesha angali hali zao za kiuchumi haziendani

Ukitaka kuona wanavyoteseka mwambie Nakuja mjini naomba nifikie kwako kwa siku mbili tatu.

Utashangaa jamaa atakavyokupa sababu lukuki ili tu ajinasue na kuku -host.

Shida yenu ni ipi

Misosi hakuna? au maisha ya budget ?

Au hamna pa kulala coz wengi wenu mnaishi vyumba viwili.

Ikitokea mgeni kupitisha siku alizosema ataondoka .....

utashangaa mnuno huo utakaopewa kuanzia ,wake zenu, watoto wenu ata dada wa kazi....... How pathetic Life is this?

Nawaulizeni tena watu wa mjini ,nyie upendo huwa mnautoa kwa wake na waume zenu tu?

Mbona mko wabinafsi hivyo?

Hamtaki ndg, jamaa wala wazazi wenu wawatembelee ,kisa usasa wenu na ubinafsi.

Mmepoteza uvumilivu kabisa

Hamtaki kujitesa na kujinyima hata kwa siku chache.........

Jamani njooni mjini muone vituko vya watu hawa.

Karibuni, povu ruksa
 
Aaah nyie mkija mjini hamchelewi anza kusumbua mpelekwe mkaonyeshwe bahari ilipo. Mjini mipango bajeti kali, huko bush mnasema tu kakoboe debe la mpunga ila sasa town mchele kilo sh 2000 na unataka ule kama uko Malinyi bana. .
 
hahaaa maisha ya mjini aghali mkuu
imagine MTU anaishi Mbezi office posta au k.ko
kama hana usafiri binafsi daily nauli anatumia buku 4 hapo bado hajala...naukute anafamilia inamuhitaji kihuduma pia...wakati hiyo buku kwa mkoa nibajeti ya mlo wa MTU...halafu wewe wataka kuja kumtembelea tu ili kumuongezea umaskini...
wewe mwenyew kbla yakwenda kumtembelea yakupasa utambue changamoto alizonazo mwenzio..then ujiongeze ukienda kumtembelea ukampe walau mawazo mawili matatu yakuweza kustawisha uchumi wake...sio kuishia kula kulala nakutazama TV tu...lazima atakuchoka tu
 
Shida kubwa ni watu wamejawa nauchoyo tuuu hamna kingine ..and now days upendo wawatu umepungua sana...+ umasikin basi uchoyo umezidi kipimo.

Binafsi , kukaa mwenyewe naonaga siwezi nahata msosi sionagi raha yake kabisaa , km sina mchizi Wangu basi nipo radhi nikawaite watoto wamajiran waje tupate msosi ile mnakula kwakushindana hadi Raha.

Watu waache uchoyo ,,uchoyo kwakisingizio cha bajeti nidalili kubwa ya UMASIKINI.
 
Kutoa ni moyo si utajiri.
 
Aaah nyie mkija mjini hamchelewi anza kusumbua mpelekwe mkaonyeshwe bahari ilipo. Mjini mipango bajeti kali, huko bush mnasema tu kakoboe debe la mpunga ila sasa town mchele kilo sh 2000 na unataka ule kama uko Malinyi bana. .
Hata huku mkoani kupata buku ni shida
Ila uku tunathamini utu
 
Kutoa ni moyo si utajiri.
Sure mkuuu , kutoa nimoyo , na tusaidie kwaroho moja tuu ,,, shida wengi wanataka wakisaidia basi walipwe sawasawa na walichosaidia .

Mshikaj Wangu mmoja ,yaan tumetokea kijiji kimoja ,, huyu man alipokuja mjin , akaamua kufikia kwangu at that time nilikua only one room , ofcoz mshikaj alikua anamambo ambayo kwamwingine ningumu kukaa naye ,siunajua kigetogeto kazi lazima msaidiane ?...lkn nikaona sio inshu ,sikuwah kumwambia wala nn.. Nampaka nikahama ,,nilihama nanguo zangu tuu nikamwachia kila kitu nilichoanzia kupanga !!

Mpaka Leo , jamaa huwa haamini ,anahisig labda IPO siku nitavichukua.

Tenda wema usingoje shukrani.
 
hahaaa maisha ya mjini aghali mkuu
imagine MTU anaishi Mbezi office posta au k.ko
kama hana usafiri binafsi daily nauli anatumia buku 4 hapo bado hajala...naukute anafamilia inamuhitaji kihuduma pia...wakati hiyo buku kwa mkoa nibajeti ya mlo wa MTU...halafu wewe wataka kuja kumtembelea tu ili kumuongezea umaskini...
wewe mwenyew kbla yakwenda kumtembelea yakupasa utambue changamoto alizonazo mwenzio..then ujiongeze ukienda kumtembelea ukampe walau mawazo mawili matatu yakuweza kustawisha uchumi wake...sio kuishia kula kulala nakutazama TV tu...lazima atakuchoka tu
Nyie hata mtu anayepita tu, hamuonyeshi ukarimu.

Mnapenda sana ubinafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom