Watu wa mikoani huwa wanapafikiria Dar es Salaam pako vipi?

Kaaa kwa kutulia mdogo wangu! SI kila unachosoma ndicho, Mimi ninaweza kuta Ni baba YAKO ! Niheshimu
Umri wako miaka 35.
Umezaliwa mwaka 1985

Ulimaliza chuo mwaka 1988

Kwa hiyo wewe hujasoma chekechea, shule ya msingi,wala hujasoma Sekondari

Mkuu kuwa makini hapa ni JF

utoto peleka huko kwa mkeo

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanaoishi dar nao dar wanaisikia tu, hawana tofauti na wa mikoani.
Aisee bora vijana wa mikoani wana uhakika wa lishe na pesa !! Mfano kijana wa mikoani akilima maharage tuu hata heka mbil au tatu yana mtoa kabisa heka moja inatoa gunia 5 na gunia ni lak tatu !!! Je akilima heka tano!?bado hajafuga kuku wa kienyeji ,mbuz ngome!!! Achilia mbali bodaboda yake !!! Aisee vijana wanapotea sana ni kwakuwa hawajastuka
 
Back
Top Bottom