Watu wa mikoa gani ni wavivu wa shughuli za kilimo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa mikoa gani ni wavivu wa shughuli za kilimo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nazjaz, Apr 22, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Nimenunua shamba, nataka vijana wawili wachapakazi.
  Je ni makabila gani nisiwachukue ili plans zangu zisifeli?
  Na je watu wa mikoa ipi watanifaa zaidi?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakulima hodari ni wasukuma, wajita na wakurya ni wazuri sana kama una mradi wa ufugaji wa kuku, ila ni wakorofi sana hawakawii kukupiga panga. Wanyamwezi ni wakulima wazuri mwanzoni, ila akipata tu mwanamke anatelekeza shamba na kuhamia kwa mwanamke.
  Wasafwa, waandali, wamalila na watu wa Rukwa na lringa pia ni hodari.
  Wagogo ni wezi sana na wwavivu. Wazaramo maneno mengi, mizinga mingi, ngoma kwa sana na kazi hawafanyi, utakuta shamba limegeuka msitu.
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pwani usitie mguu,jamaa ni ngoma ngoma na wao
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  kweli pwani noma
   
 5. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wewe ni wa mkoa gani?
   
 6. Beatus F.Utouh

  Beatus F.Utouh Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  dah,,dar-es salaam wanaongoza'
   
 7. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Huna haja ya kuuliza watu wa mikoa gani wakulimie! Cha msingi wewe kama unajeuri ya fedha nunua power tillers ambazo utaendesha wewe mwenyewe na ndugu zako!
   
 8. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wa pwani noma sana. Wanapenda kucheza ngoma na ule 'mchezo'.
   
 9. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  We alikozaliwa presda wako (pwani) usitie nyayo,huko ni wataalamu wa mipasho,mdundiko na ka mchezo ka baba na mama...
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kaka wakikujua itakuwa kazi kwelikweli
   
 11. justin mwanshinga

  justin mwanshinga Member

  #11
  Jun 22, 2016
  Joined: May 22, 2014
  Messages: 93
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 40
  Tafu
  Tafuta MSAFWA original toka mbeya
   
 12. Sky Eclat

  Sky Eclat JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2016
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 19,804
  Likes Received: 48,579
  Trophy Points: 280
  Tupeni break wa pwani, mbona hatufi kwa njaa?
   
Loading...