Watu wa Mbeya na ukombozi wa kifikra kisiasa na uchiumi

lusaka city

Senior Member
Mar 17, 2015
146
116
moja ya mikoa ambayo ni Tanzania basi ni mkoa wa mbeya
jiji lenye wananchi wachapakazi(kwa ujasiriamali wanaongoza) zunguka duniani kote lazima ukutane na mtu tokea mbeya akisaka tonge
zuri lakufurahisha wananchi hawa hawapendi kuonewa (washajikomboa kifikra)
mfano mzuri madereva daladala kugomea agizo LA serikali kupita njia inayo zunhgukà sokoine sababu ni mbovu
watu walikula pesa yakutosha wakati uyu mkuu akiwa wazir was ujenz
niishie hapo nitarudi baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom