Watu wa marketing / matangazo mnawaonaje wenzenu wa huyu mzungu wa upeno ,imani na miujiza?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,180
41,999
Hivi hawa watu walikuwa wana bandika mabango muda gani na matangazo yao?

Wataalam wa matangazo na masoko mnawazungumziaje hawa jamaa waliofanikisha kutandaza vipeperushi dar nzima?

Hawa watu wanafananaje? ni kampuni iliyopewa tenda

Kila unayemuuliza kuhusu haya mabango na watu walio bandika lazima atakwambia ameamka asubuhi amelikuta bango..

Hawa jamaa wanabandika vipeperushi hadi shambani yani hata kama utaki kuyaona utayaona na itafika kipindi lazima uanze kujiuliza hawa watu ni wa aina gani... maana kama ni kazi wameifanya...... hakuna mwana Dar hajakutana na hayo mabango au vipeperushi.....

Watu wa amsoko na matangazo mnawaonaje wenzenu hawa? hivi kuna kitu kimewai kuwafikia watanzania wengi kuzidi hili tangazo la miujiza?
 
Hao watu ni wahalifu kama wahalifu wengine ilipaswa jeshi la polisi liwatafute na wafikishwe mahakamani kwa makosa ya uchafuzi wa mazingira.

Nia aibu sana hayo matakataka kubandikwa kila mahali.
hahahaha hawa hawakamatiki... nasikia wakiona umesimama muda mrefu wana kubandika tangazo......................
 
Wale jamaa nasikia ukilala vibaya unakuta tangazo limebandikwa chumbani kwako...ukitembea kizembe zembe wanalibandika mgongoni mwako🤣
 
FB_IMG_16325110723055428.jpg
 
Hivi hawa watu walikuwa wana bandika mabango muda gani na matangazo yao?

Wataalam wa matangazo na masoko mnawazungumziaje hawa jamaa waliofanikisha kutandaza vipeperushi dar nzima?

Hawa watu wanafananaje? ni kampuni iliyopewa tenda

Kila unayemuuliza kuhusu haya mabango na watu walio bandika lazima atakwambia ameamka asubuhi amelikuta bango..

Hawa jamaa wanabandika vipeperushi hadi shambani yani hata kama utaki kuyaona utayaona na itafika kipindi lazima uanze kujiuliza hawa watu ni wa aina gani... maana kama ni kazi wameifanya...... hakuna mwana Dar hajakutana na hayo mabango au vipeperushi.....

Watu wa amsoko na matangazo mnawaonaje wenzenu hawa? hivi kuna kitu kimewai kuwafikia watanzania wengi kuzidi hili tangazo la miujiza?
Uliskia wanatafuta masoko? Wao wanahubir habar njema za KRISTO mwana wa MUNGU..mambo ya masoko sijui marketing hayana nafasi..we kama umeona tangazo fanya uende kupokea habar njema..kama hutak bas tulia wala usianze kuhoji mambo ambayo huyajui wala hujaombwa uchangie kuprint wala kuwapa eneo la kubandika.
Asalamalekooo!
 
Back
Top Bottom