kama mlisoma magazeti mwanzoni mwa wiki hii balozi wa Marekani aliwakilisha cheque ya 7.5m na kisha kuongeza ''za kwake'' 3m kufanya mchango ufikie 10.5m. Kwangu mimi natafsiri kwamba wahisani waliona mchango aliohidi kutoa waziri mkuu Mizengo Pinda wa 10m baada ya kuelezwa matatizo ya elimu na miundo mbinu UDSM,sasa kama waziri mkuu wa nchi anatoa 10m kwa nini wao wajilipue na mabilioni? pili nadhani wahisani wameanza kunusa harufu ya ufisadi hapa nchini na hawatakuwa tayari kutoa fedha kimchezo mchezo.
naomba tafsiri
naomba tafsiri