Watu wa Lindi vs Mtwara..je majibu ya Pinda kuhusu Gas yetu..yanaridhisha?

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Amezunguka tu...jana Barwany mbunge wa Lindi..kataka mkataba uwe wazi..tuone je,unatija au ndo utajiri karaha kama madin-Geita,dhahabu-kahama
"Vox populi,vox dei"
 
Huu mkataba lazima uchunguzwe na uangaliwe kwa kina kama kweli utawasaidia nyie watu wa kusini. Haileti maana gesi na mafuta ni yenu wenyewe halafu wavunaji ni watu wa dar, inakuja kichwani kweli? Watu wa kwenu watafaidika na nini? Nyie watu wa kusini msikubali kunyonywa, gesi ya songosongo imekuja dar na nyie huko kwenu mmebaki bila kitu. Msikubali kuliwa, angalieni ndugu zenu wa geita na mwadui.
 
kwanza tunawashukuru sana kwa kuchelewa kuchima gesi na mafuta,maana wangechimba mapema tungeliwa kama wenzetu wa maeneo mengine,sasa hivi wasomi tupo wa kusini,ni kukaba mpaka kwenye penalti!
 
Naamin wana South wenzangu tujadili kwa kina hili jambo
"vox populi,Vox dei"
 
Serikari za majimbo ndio mkombozi,minaona kama tunampigia mbuzi gitaa wakati tunajuwa hawezi kucheza!!!!!!!!!!! mkataba wa songasi nani anjuwa kilchoandikwa ndani?kama hatujui wakwanza tutajuwaje wa pili?
 
Angalau kwa greed yake mama anaamua ku support sera za majimbo.Kuwa wanaonewa wivu na gesi yao kwani kaskazini hawana.mama hajui upare kuna Uranium+ , na huko kwao tayari mabepari wa kaskarini, waasia,na wazungu wapo huko wapo na wataendelea tafuna kwa mika kadhaa. Huku wajinga kama yeye watakuwa majukwaani tuu.
 
Back
Top Bottom