Watu wa kusini tumesahaulika sana katika teuzi mbalimbali

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Bwana mkubwa ametusahau sana , sisi watu wa kusini hupati shida kutambua majina yetu. Ukisikia majina kama tembo, komba, mapunda, ngonyani, simba, nyoka , mwakinyonga, mwakimpusa, sanga, lupembe, msigwa, n.k

Nimepitia teuzi nyingi hayo majina hayapo kabisa sijui kwa nini . Mkuu sisi ni watu pia ijapokuwa majina yetu ni ya wanyama.

Tunaomba radhi kama tulikukosea , kwani na wewe ni binadamu wakati mwingine unakwazika, najua wakati mwingine tumeponzwa na watu wa mbeya kwani wakati wa kampeni walizomea kampeni zetu, naomba uwasamehe kwani adhabu uliyotupa inatosha, na tumejifunza sasa .

Kidumu chama changu cha CCM. kidumu milele , kidumu kisitoke madarakani
 
ha ha ha ha, kumbe? mbona Ruvuma ina mawaziri na manaibu mawaziri 4? nadhani ungesema mbeya na iringa ila kwetu huku CCM imetaga mayai ya bundi.
 
Mbona wakati mmetoa Rais hamkuongea......tulieni kanda ya ziwa na sisi tuneemeke sasa
 
Hizi mada zisizo kuwa na kichwa zishakuwa fashion, jana tu kulikuwa na jitu kutoka Mara linalamika eti Mara wamesahauliwa leo tena kusini sijui Ruvuma, any way kazi ni moja tu ku-report kwa moderator.
 
Ondoa Sanga hapo,maana wapo walioteuliwa wengi kutoka Makete ila hawatumii majina yao ya Ubini.

Mfano mimi nikiteuliwa huwezi kutambua kama ni Sanga,natumia jina langu la baba na babu.

Hadi uchukue cheti cha kuzaliwa ndio utaona jina la nne ni Sanga.
 
Bwana mkubwa ametusahau sana , sisi watu wa kusini hupati shida kutambua majina yetu. Ukisikia majina kama tembo, komba, mapunda, ngonyani, simba, nyoka , mwakinyonga, mwakimpusa, sanga, lupembe, msigwa, n.k

Nimepitia teuzi nyingi hayo majina hayapo kabisa sijui kwa nini . Mkuu sisi ni watu pia ijapokuwa majina yetu ni ya wanyama.

Tunaomba radhi kama tulikukosea , kwani na wewe ni binadamu wakati mwingine unakwazika, najua wakati mwingine tumeponzwa na watu wa mbeya kwani wakati wa kampeni walizomea kampeni zetu, naomba uwasamehe kwani adhabu uliyotupa inatosha, na tumejifunza sasa .

Kidumu chama changu cha CCM. kidumu milele , kidumu kisitoke madarakani
Akiwachagua au kutokuwachagua haina maana jambo la maana ni kuleta Maendeleo ya taifa.
 
Nendeni shule kwanza
..
Hivi ukilinganisha wasukuma walio soma na wanyakyusa nani wamezidi? Ngoja nikupe takwimu. shule za msingi zilizopo Mbeya ni nyingi kuliko shule zote za msingi za shinyanga changanya na simiyu na geita.Shule za sekondari za Iringa ni nyingi kuliko shule za sekondari za kagera changanya na geita. Kwa ujumla ukiondoa kilimanjaro kwasasa mikoa yenye watu wengi walio soma ni Mbeya, Iringa ndio inafuata Kagera.
 
Hata Dar kuliko na kilachuo wapo nyuma?
we kweli kiboko
 
Hata Dar kuliko na kilachuo wapo nyuma?
we kweli kiboko
Dar is a cosmopolitan city, kila kabila lipo Dar kwahiyo hakuna kabila linalo weza kusema Dar wamedominate.Hata hivyo ngoja nikupe takwimu hizi ndio uweze kufikiri vizuri. Mkoa wenye shule za msingi nyingi wa kwanza ni KILIMANJARO, Wanafuatiwa na MBEYA halafu Dar na IRINGA ina shika nafasi ya Nne.

Mkoa wenye shule nyingi za sekondari wa kwanza ni Kilimanjaro, wanafuatiwa na DAR halafu IRINGA na Mbeya inafuata.Maana yake ni nini? mikoa hiyo kwa vyovyote vile baada ya muda itaongoa kwa wingi wa wasomi.
 
Kusini ipi? Wacha kutusanifu arifu.
Hapo kwenye mlima umesikia jina lolote?
Hanma noma. Kodi zetu mnazitaka ila sisi hamtutaki.
Haya banaaa.
 
ha ha ha ha, kumbe? mbona Ruvuma ina mawaziri na manaibu mawaziri 4? nadhani ungesema mbeya na iringa ila kwetu huku CCM imetaga mayai ya bundi.
We kweli hamnazo....unasimamia takwimu gani kusema chama dume CCM imetaga mayai ya Bundi?

Mkoa wa Iringa una majimbo 8 ya uchaguzi...CCM ina 7 chadema "ukawa" ina 1 sasa nani kataga hapo?

Mkoa wa Mbeya kabla ya kutenganishwa na Songwe una majimbo 9 ya uchaguzi... CCM ina 6 chadema/ukiwa wana 3....nani kataga hapo?

Acheni mahaba
 
Back
Top Bottom