Watu wa kushirikiana nao katika biashara ya consultancy (associate partners) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa kushirikiana nao katika biashara ya consultancy (associate partners)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HR CONSULTANT, Apr 10, 2011.

 1. H

  HR CONSULTANT Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WADAU NATAFUTA WATU WENYE MTANDAO WA KUTOSHA ILI KUSHIRIKANA NAO KATIKA BIASHARA YA CONSULTANCY WAWE KAMA ASSOCAITE PARTNERS WA KAMPUNI. NAMILIKI KAMPUNI YA CONSULTANCY INAYOTOA HUDUMA ZIZIFAATAZO
  (1) CONSULTANCY (KATIKA FANI ZOTE ZA SOCIAL SCIENCES)
  (2)TRAINING (CAPACITY BUILDING)-
  (3) RECRUITMENT
  (4) DATA COLLECTION/SURVEYS/RESEARCH
  (5) FINANCIAL CONSULTANCY AND TRAINING ON VALUATION/MODELLING TO FINANCIAL INSTITUTIONS IN PARTNERSHIP WITH A REPUTABLE SOUTH AFRICA CONSULTING FIRM
  (6) CORPORATE GOVERNANCE CONSULTANCY-INSTALL CORPORATE GOVERNANCE SYSTEMS SUCH AS SOCIAL CORPORATE RESPONSIBILITY POLICY,PREPARE CORPORATE GOVERNANCE REPORTS FOR BANKS AND OTHER INSTITUTIONS.

  NAITAJI WATU MWENYE MTANDAO MKUBWA WA MAHUSIANO YA KIKAZI NA TASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI,NGO'S,BALOZI,FINANCIAL INSTITUTIONS,MINING FIRMS,SOCIAL SECURITY FUNDS NA SECTOR BINAFSI KWA UJUMLA NCHINI,ILI KUA ASSOCIATE PARTNERS KUSAIDIA KAMPUNI KUPATA WATEJA WA KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI KWA MALIPO YA 30-40 PERCENT YA FAIDA YA KILA HUDUMA ITAKAYOUZWA KWA MTEJA ULIEMLETA KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI.

  KAMPUNI IMESAJILIWA NA INA VIBALI VYOTE MUHIMU,PIA INAWATAALAMU (CONSULTANTS) WA ZURI NA WENYE UZOEFU MKUBWA WA KAZI ZA CONSULTANCY KATIKA FANI MBALIMBALI NDANI NA NJE YA NCHI WANAOWEZA KUFANYA KAZI KWA UBORA WA KIMATAIFA.

  KAMPUNI IMESHAFANYA KAZI MBALIMBALI KWA MUDA WA MWAKA MMOJA SASA.


  WOTE WENYE NIA YA KUSHIRIKIANA NASI NITUMIE E-MAIL AT kulwatz@gmail.com

  MANAGING DIRECTOR.
   
Loading...