Watu wa Kigoma naomba mnipokee mgeni wenu.

Habari za usiku wakuu..
Napenda kuwajulisha ndugu zanguni wa mkoa wa Kigoma kwamba nitakua mgeni wenu mda simrefu kwa ajili ya kuja kufata mzigo wangu.

Kikubwa nawaomba muje munipe ushirikiano wenu, safari yangu itaanzia Dar, matembezi yangu nitafikia mpaka vijijini kama:

Kagunga, Mwamgongo na maeneo ya mjini ambapo ndo itakua ndo penye kitovu cha shughuli yangu. Naamini sitakosa kuja kupata mafuta ya mawese ya kumwaga na sabuni kede kede ambazo zitakuja kuwa kama zawadi kwangu.
Karibu sanaa
 
==================================
UPDATES:

Habari za majukumu wakubwa na wadogo...
Nisiwachoshe ile safari yangu nategemea kuondoka Jumatatu ya wiki inayofuata.
Nawakumbusha watu wangu wa Kigoma msisahau kiniwekea yale mazawadi ya kumwaga. Bila kusahau nitafikia eneo la Kwamchaga.
 
Baba ukifika mjini naomba unishtue aisee uje tunywe mtobee niko masanga stand hapa..
 
Sometimes naoana mm sio mtu wa kigoma halisi aisee .. How muha mie sijui kuongea kilugha chetu, kasulu, kibondo wala kagunga sijawahi kukanyaga wala kupapita. manyovu tu ndio nimeenda mwez 6 kwenye harusi ya jamaa yangu
 
Basi itakua wewe ni mvamizi.
 
Nitakua naleta updates kila hatua nitakayofikia ndugu zangu wa Kigoma.
 
Nitakua naleta updates kila hatua nitakayofikia ndugu zangu wa Kigoma.
Yaani wewe tangu mwezi wa Kumi mpaka leo hujaanza safari? Tena unasema mpaka Jumapili sijui Jumatatu huko ijayo ndipo utaanza safari. Uko Serious Kweli mkuu?

Mimi nilikuwekea maparachichi mpaka yameharibika.
Umenitia hasara!
 
Hahahahah, usijali mkuu ndo maisha hata mimi sikupanga ifike mwezi huu lakini ndo ilibidi...haya mara hii niekee mawese kwa wingi maana nayapenda. Jumatatu ya tarehe 10 uhakika Mungu akipenda.
 
Sometimes naoana mm sio mtu wa kigoma halisi aisee .. How muha mie sijui kuongea kilugha chetu, kasulu, kibondo wala kagunga sijawahi kukanyaga wala kupapita. manyovu tu ndio nimeenda mwez 6 kwenye harusi ya jamaa yangu
Niandalie mananasi ya manyovu huko mkuu.
 
Update:

Wakuu ile safari yangu nategemea kuanza kesho panapo uhai na majaaliwa.. Basi nitakalosafiria ni saratoga.
 
Updates:

Nashukuru kwa muumba wa mbingu na ardhi kufika salama ndani ya ardhi ya Kgm... Na pia niwapongeze wale wote ambao walinikaribisha. Na mda huu nipo Kwamchaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom