Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,737
- 5,438
Labda kwao kuna njaa sana, lkn za kuambiwa changanya na zako.Mbona nasikia kabila hili la waha ni wachoyo Sana
Je tutakula?
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwao kuna njaa sana, lkn za kuambiwa changanya na zako.Mbona nasikia kabila hili la waha ni wachoyo Sana
Je tutakula?
hawana njaa za kina matonya huko chakula tele wanaabzaje kuwa wachoyoMbona nasikia kabila hili la waha ni wachoyo Sana
Je tutakula?
Karibu sana
kwa maskhara hamjambo mpo kigoma ipi ngie? kigoma ya kimara Dar?Karibu sana mkuu
Me dar napaskiaga tukwa maskhara hamjambo mpo kigoma ipi ngie? kigoma ya kimara Dar?
Namaanisha "Karibu sana"Ndo nini mkuu yaani umeniacha njia panda.
kigoma pande zipMe dar napaskiaga tu
Kibondo mkuu.karibuMkuu upo wilaya ipi?
Nipo ujiji mkuu karibu sanaNashukuru upo wilaya nije nitie macho.
Dar sijawahi hata kufika mkuu.kwa maskhara hamjambo mpo kigoma ipi ngie? kigoma ya kimara Dar?
duuuh huko kwenye vumbi jekundu? ninepita hayo maeneo wakat kazi za kambi ya wakambizi zimeshamiri sitaki hata kupasikiaKibondo mkuu.karibu
ndo hvyo..hili vumbi tunapambana nalo hvyo hvyoduuuh huko kwenye vumbi jekundu? ninepita hayo maeneo wakat kazi za kambi ya wakambizi zimeshamiri sitaki hata kupasikia
siku ukitimba kgm mjini nistue nijongee pande hizo chapndo hvyo..hili vumbi tunapambana nalo hvyo hvyo
Poa..hakuna matatasiku ukitimba kgm mjini nistue nijongee pande hizo chap
Haaa a!! Karibu KifuraKibondo mkuu.karibu
Haa nazareti tena kwa yesu, we si wa nchi hiiHaya kwa ujiji nitakuja maana mimi nitakua nalala Nazareti.