kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,990
- 17,879
Kusema kweli kuna umuhimu mkubwa wa kanda ya Kaskazini na mipakani kuwa na treni ya umeme ya Sgr
Nasema hayo maana Kaskazini ni route ya uhakika ya usafiri na kila mwaka demand inaongezeka
Nadhani kuna haja ya sisi wana kanda ya Kaskazini tukakaa na kupanga namna ya kuleta miradi mikubwa kanda hii hususan kujenga treni ya umeme hadi Kaskazini mwa nchi Kilimanjaro, Arusha na Manyara pia na baadhi ya maeneo ya Tanga
Tatizo la Serikali ya awamu ya tano sio wasikivu kwanza ile treni ilitakiwa iende Kigoma, lakini ghafla ikabadilishwa ikaenda Mwanza sio fair watu wa Kigoma, Congo, Burundi tumewapotezea kisa kuithamini Rwanda yenye watu milioni kumi tu huku tukipuuza Congo, Burundi zenye watu zaidi ya milioni 200+
Mwanza Kwanza Tanga ikipita faida ya bandari ya Tanga tungeiona faida ya bandari na boder yake na mombasa
Pia Moshi tungevuna abiria wengi sana pia holili mpakani na Kenya na Tarakea pangechangamka sana
Ukija Arusha pia ina usafiri mwingi pia border la Namanga ni faida hiyo hapo mpaka ikafike Mwanza ni faida kubwa mnooo
Lakini watawala mmelifumbia macho tu
Nawaomba wazawa wa Kaskazini tufikirie mpango wa kujenga reli yetu ya kisasa ya umeme maana hatutegemei Serikali wala haijawahi kutusaidia maendeleo tunajiletea wenyewe naamini tutaweza.