Watu wa iringa mbona wengi wafupi?

luziiii

Member
Jan 14, 2018
43
49
Nawapenda watu wairinga, ilamnanikela,hakuna mlefu wote wafupi wake kwa waume .wanawake oleweni namakabila mengine mchanganye mbegu

Wanaume hamjuikutongoza makabila mengine? changanyeni mbegu.mbona pesa mnajua kutafuta,mnaogopa nini kuoa hatajirani zenu kule tukuyu mbona hawanasifa yakumkataa mtu
 
Hahaha Ww unaolewa na kabila gani?

Yeah Kuna tofauti kubwa Kati ya watu wa Iringa na watu wa mbeya ingawa ni majirani.

Ila Nafikiri jirani zao waluguru Ndio wamezidi kwa ufupi
 
Hahaha Ww unaolewa na kabila gani?

Yeah Kuna tofauti kubwa Kati ya watu wa Iringa na watu wa mbeya ingawa ni majirani.

Ila Nafikiri jirani zao waluguru Ndio wamezidi kwa ufupi
Huyu jamaa ana matatizo asaidiwe hata nabii Tito alianza hivi hivi mkadharau mwisho wake ndo huo.
Kuna uzi kaanzisha kawatukana watu wa mbeya sana huku kaanza Iringa. Nadhan anawashwa huyu huko dar haudumiwi inavyotakiwa
 
Nawapenda watu wairinga, ilamnanikela,hakuna mlefu wote wafupi wake kwa waume .wanawake oleweni namakabila mengine mchanganye mbegu

Wanaume hamjuikutongoza makabila mengine? changanyeni mbegu.mbona pesa mnajua kutafuta,mnaogopa nini kuoa hatajirani zenu kule tukuyu mbona hawanasifa yakumkataa mtu

Kwani wee ni mtu wa wapi ndugu.
 
kipindi nasoma mkwawa, nilikuwa nashangaa na mie watu wanaotoka makanyagio, mwembetogwa, short cut yao kwenda lugalo secondary wanapita mkwawa na kuna kimlima pale, utakuta wanafunzi wafupi ila mkuu wapo very mascularized ile mbaya, mie nahisi kwa sababu ha kukwea kwea ule mlima nasemea wa maeneo ya pale mkwawa
 
Hata mi nashangaaga sana, yaani wafupi karibia wote halafu wanafanana fanana tu. Sema nilikuja kugundua sababu kubwa ni kuzaliana wenyewe kwa wenyewe kama alivyosema mleta mada
 
Nawapenda watu wairinga, ilamnanikela,hakuna mlefu wote wafupi wake kwa waume .wanawake oleweni namakabila mengine mchanganye mbegu

Wanaume hamjuikutongoza makabila mengine? changanyeni mbegu.mbona pesa mnajua kutafuta,mnaogopa nini kuoa hatajirani zenu kule tukuyu mbona hawanasifa yakumkataa mtu
The latest time I checked it goes like this,
Small minds (Like you) always discuss people,

Average minds discuss Events (sadly you aren't even here)

Smart minds discuss Ideas,
Wakati mwingine usilete nyuzi kama hizi humu, unaonesha namna gani uko small minded (Very small minded)
 
Wachina ni wafupi kama nukta but wako better and civilized kuliko wamarekani,
I think what matters is 'Beautiful brains, Not beautiful heights, what do u say Madame??
Lakini walikuja kugundua diet pia ili changia a katika height ya wachina, Hawa ambao wanabalance diet wanarefuka wale wa zamani ilikuwa ni mchele tu asubuhi uji mchana na jioni wali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom