Watu wa haki za binadamu mnafanya kazi gani? Third year UDOM wanateswa jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa haki za binadamu mnafanya kazi gani? Third year UDOM wanateswa jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Laurence, Jul 2, 2011.

 1. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,105
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ukifika kwa sasa hapa ujionee utawaonea huruma,ni wanafunzi wa Social mwaka wa tatu wanawahakiki upyaaa yani ili wapate haki ya kurudi masomoni then mahali penyewe ni hapa jirani na Duwasa kuna uwanja wa mpira ni jua kali sana na kibaya zaidi inasemekana kesho ndio siku ya mwisho ya kuwahakiki na kibaya zaidi Jumatatu ya tar nne wanaanza UE so huku ni kukomoana ama nini? Na kibaya zaidi hawaangalii wewe unatoka mkoa ila kesho ndio mwisho mnalionaje wana Jf?
   
 2. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,258
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Kilichozungumzwa zaidi hapo UDOM ni kuwa, madai yao yalichocheiwa kisiasa. Inaonekana kinachofuata sasa ni kuwakomoa wale walioonekana hawaipendi magamba company watolewe kafara.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,709
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Nadhani wanatekeleza/almanac, hayo madai ya kukomoana kwa mlengo wa kisiasa sina uhakikanayo.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,709
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Nadhani wanatekeleza/almanac, hayo madai ya kukomoana kwa mlengo wa kisiasa sina uhakikanayo.
   
Loading...