Watu wa Graphics and Designing (Mtaalamu wa ADOBE Photoshop) wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa Graphics and Designing (Mtaalamu wa ADOBE Photoshop) wanahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by HUNIJUI, Oct 19, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Katika pitapita zangu za hapa na Pale nimekutana na tangazo
  WANAHITAJIKA watu WATANO wa designing wawe ni wataalamu wa kutumia ADOBE PHOTOSHOP
  hawa jamaa wanaitwa BOMEI Advertising Production Manufacturer ltd. wapo maeneo ya Chang'ombe next to Serengeti breweries, wanapatikana kwa namba 0656899999 na 0753 017111, ukifika ni rahisi zaidi kuliko kuwasiliana nao coz ni wachina hawajui kiswahili vizuri ila ukifika uliza meneja (sina namba yake) wenye bahati zao
   
 2. n

  nash koba Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  japo kazi hiyo haina mahusiano na mimi ila 2nasema wakondya/asante kwa kutokuwa mchoyo.
   
 3. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  yes kaka, ndo ubinadam
   
Loading...