Watu wa fani ya ushushushu wanasema wana hisia sita hivi hiyo ya sita ni ipi?

Tutazunguka koote lakini yote inahusu kuiamsha Peneal gland ambayo inafungua jicho la tatu lenye uwezo wa kuona mambo katika ulimwengu wa kiroho. Mtu ambaye tayari ameshaiactivate hiyo penael gland anapata picha ya mikakati yako (ukiwazacho, unachotaka kufanya) na mpaka kimwili una strength nguvu kiasi gani na hapo anajua kabisa jinsi ya kukukabili.
Wengi wao wakushafungua jicho hili la tatu, utumiaji wa nguvu za giza unaongezwa. Usijethubutu kupanga kumdhulu kiongozi mkubwa wa nchi anayelindwa na wale jamaa, wamefukizwa, kuzindikwa mpaka sijui nisemaje ila ndo hivyo imeeleweka
Mkuu hilo ndio jibu nilikuwa nalitafuta toka mwanzo nilipoanza kupitia comments za wachangiaji. Jibu lako ni kweli 100%,
Peneal gland ndo mambo yote
 
Hiyo sense ya sita sisi watu wa usalama na mashushu tulio bopea huwa tunaitaja kama "telepathy" hii ni ile ambayo inakupa uwezo wa kumtabua anachofikiria mtu hasa pale unapokua unamfanyia mahojiano
 
Back
Top Bottom