Watu wa Dar bwana, you worry about everything!

Ndo mjini apo? Mm naona poli tu na ziwa na vinyumba kadhaa vya kutafuta kwa tochi... afu mkija mjini mkikaa wiki mkishajua kuvuka barabara mnakuwa jeuli sana nyie umbwa!
Chuki zote hizi zasababishwa na nini..?.
 
Sasa nimkubalie nini hapo.?
Waha mnatusingizia kila siku wakati hatuna ubishi
Apa nakupinga vikali,bro waha ninao kaa nao uku ni wabishi mpaka wanakera .Kila story anaijua,pia wanataka Kila story wawe wenyekiti(wasemaji wakuu).misifa Sasa duuu....hawa watakuwa wanatokea kigoma ya wapi? Au warundi mana mnatuchanganya sana migration

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom