Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,179
- 2,004
Nimeamka asubuhi nina mia nne(tsh 400.00/=) mfukoni.
Nikajipa wazo ngoja niangalie salio benki kupitia simu yangu ya mkononi.
Nimeangalia mara 6 kuhakikisha kama ni macho yangu yananidanganya figures ninazoona. naona m.12,500,000/= wakati niliacha elfu 8 tu mara ya mwisho kwenye akaunti yangu.
Mnajua watu wa benk husika(siwataji) mna majaribu. Mmeniacha na mawazo lukuki tangu asubuhi.halafu tangu nimeona saa 3 asubuhi hadi sasa bado zipo tu.
1. je mmezichoka pesa zenu?
2. je nikichukua kuna tatizo? mtanifuata?
3. wasomi wa sheria nikichukua mkwanja huu ulio ktk akaunti yangu ni kosa na kama kosa ni lipi? madai au jinai?
4. au mnajivumia siwezi kutoa zote kwa SIM BANKING? na je nikiingia ndani benki nichukulie dirishani watanipa?
Mwisho nawapa muda, hadi saa 12 msipozihamisha hakika mtanilaumu. Yule adui mkuu ibilisi yuko jirani naona.
Ni taarifa tu, tusilaumiane wala kutafutana. Kumbukeni nina mia 4 tu halafu mnanipa majaribu mazito kama hayo.
UPDATES
hadi saa 10 hii bado zipo