Watu sita waangukiwa na ngema hatimaye kufaririki papohapo wakati walipokuwa wakichimba kifusi.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.

Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.

Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini.

Sehemu ya eneo la tukio

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.

Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea

Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.

Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.

Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.

Huduma ya kwanza kwa majeruhi

kamati ya ulinzi na usalama ilikuwepo hadi usiku wa saa nne jana hadi shughuli ilipomalizika.

Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na ngema ili zoezi la uopoaji miiili uendelee kwa urahisi.

Zoezi likeindelea

Zoezi likiendelea

Moja ya miili iliyofukiwa

Greda likiendelea na juhudi za uokoaji

Miili ya marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo baada ya kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika..
 
Mmmmmh! Ama kweli mwisho wa mwaka ndiyo hii na Mungu awape pumziko la milele wale wote waliofariki.
 
Back
Top Bottom