Watu mnalazimisha nyeusi kuwa nyeupe Harmonize hawezi kuwa msanii mkubwa zaidi ya Kiba

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Baada ya Alikiba Kuachia nyimbo yake ya MEDIOCRE na kufanya mitandao yeye na Hasim wake kuwa Gumzo na kupelekea watu Kutafsiri kuwa Alikiba kamtupia Dongo Diamond na kufanya yule kijana wa chitohoi kuzimika ghafla hii imefanya Watu wake waanze kujitetea na kutaka kuaminisha Watu kuwa Alikiba kaisha na Anafosi Bifu na Diamond ili Arudi kwenye chat na kudai sasaiv Hasim wa Diamond ni Harmonize hahahaha

Harmonize kwa Kiba hatoshi hata kwenye kiganja cha Mkono kuanzia Mafanikio Mashabiki Mpaka Hela na Dhambi

Kumlinganisha Alikiba na Msanii mwenye Tuzo ya Ubao kutoka kwa sonara wa Mwanza Alio pewa na Hbaba huo ni uhuni

Huwezi mringanisha msanii Ambae Anatuzo nyingi za kimataifa Anamashabiki wa Damu kabisa na mtu Ambae toka Ameanza kujita jeshi Anapiga show za Bure tu

Na kama Kutupa vijembe ni kutafuta back up basi Kiba amesha mpa back up Diamond kitambo baada ya Diamond kuimba diss track inayo muhusu Kiba

Pia ikumbukwe wasanii wenye Mafanikio Makubwa Tanzania ni Diamond Alikiba Sasa uyo mtu Wa chitohoi Ana Nini cha kuwekwa na Alikiba!????
 
Ukweli ni kwamba Harmonize ni habari nyingine kwasasa, na muda mchache ujao anakwenda kuwa msanii mkubwa barani Afrika. Huyo alikiba hana jipya kwasasa tuwe wa kweli pumzi zimemuishia na sasa anatafuta kwa kufia. Diamond ndio habari nyingine kabisa kwa hao wasanii wawili yani ni mbigu na ardhi, ligi kuu na Cha ndimu hakuna mvutano linganifu Kati yao kabisa. Hizo tuzo nyingi za kimataifa za kiba ni ngapi? Muda ufike kiba na harmonize waache kutumia mgongo wa diamond 💎
 
Ukweli ni kwamba Harmonize ni habari nyingine kwasasa, na muda mchache ujao anakwenda kuwa msanii mkubwa barani Afrika. Huyo alikiba hana jipya kwasasa tuwe wa kweli pumzi zimemuishia na sasa anatafuta kwa kufia. Diamond ndio habari nyingine kabisa kwa hao wasanii wawili yani ni mbigu na ardhi, ligi kuu na Cha ndimu hakuna mvutano linganifu Kati yao kabisa. Hizo tuzo nyingi za kimataifa za kiba ni ngapi? Muda ufike kiba na harmonize waache kutumia mgongo wa diamond
Kiba katumia vip mgongo wa Mond au unaiongelea ushabiki Kwan alie Anza kumuimba mwenzake ni Nan?, Kati ya Kiba na Mond

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kiba katumia vip mgongo wa Mond au unaiongelea ushabiki Kwan alie Anza kumuimba mwenzake ni Nan?, Kati ya Kiba na Mond

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Nani alianza kumponda mwenzake ?au umesahau Kiba kipindi anarudi kimziki alivyokuwa akimponda Diamond (Mkasi na Sporah) mpaka Mondi akafanyiwa Zengwe Kili Music na kuzomewa Fiesta.Ila cha ajabu tuzo waliomnyima Kili ya best peformer TZ akaenda kupewa ya best performer Africa 2015 na MTV plus BET nomination.

Kuanzia hapo Mondi nae kaanza kujibu mapigo.
Ila siku hizi (ana zaidi ya miaka 2) Mondi hajibu, Harmonize na crew lake la HBaba,Diva na Mwijaku kila siku wanaponda wanategemewa kujibiwa ila Mondi kimya,Ommy Dimpozi nae siku hizi hawa mjibu hata huyu nae na nyimbo yake atakaushiwa.

Kwani Mondi sasa hivi ana mambo mengi ya kufanya kwa label yake ya WCB na kampuni yake ya Wasafi Media alafu ni ligi mbili tofauti,mmoja anang'ang'ania U-KING,Diamond anafikiria kutanua mziki wake ufike mbali mpaka sasa ukitoa nchi za kiarabu Diamond kishapiga show karibia 90% ya nchi zote za Africa.
 
Nani alianza kumponda mwenzake ?au umesahau Kiba kipindi anarudi kimziki alivyokuwa akimponda Diamond (Mkasi na Sporah) mpaka Mondi akafanyiwa Zengwe Kili Music na kuzomewa Fiesta.Ila cha ajabu tuzo waliomnyima Kili ya best peformer TZ akaenda kupewa ya best performer Africa 2015 na MTV plus BET nomination.

Kuanzia hapo Mondi nae kaanza kujibu mapigo.
Ila siku hizi (ana zaidi ya miaka 2) Mondi hajibu, Harmonize na crew lake la HBaba,Diva na Mwijaku kila siku wanaponda wanategemewa kujibiwa ila Mondi kimya,Ommy Dimpozi nae siku hizi hawa mjibu hata huyu nae na nyimbo yake atakaushiwa.
Kwan wap katajwa diamond

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Alikiba Ni utopolo na zilipendwa ndio maana Sasa hiv anatumia Kiki kupitia mgongo wa diamond ili atrend mwanzo alianza kumtumia baby mama wa diamond Hamisa mobetto na sasa hivi ameamua aje na track ya taarabu na majungu bahati nzuri Safari hii Wasafi hawajampa kiki ndio maana ngoma take ipo trend no 2 na Ya Wasafi ipo no 1 Tena Ni Zuchu wasafi wangemjibu ingekuwa no 1 ila now day Wasafi hawatoi Kiki tena.

Ukimtoa diamond msanii anayefuata Ni harmonize si Kiba Tena ndio maana hata fans wake wamekimbilia kwa mmakonde.
 
Baada ya Alikiba Kuachia nyimbo yake ya MEDIOCRE na kufanya mitandao yeye na Hasim wake kua Gumzo na kupelekea watu Kutafsir kua Alikiba kamtupia Dongo Diamond na kufanya yule kijana wa chitohoi kuzimika gafla hii imefanya Watu wake waanze kujitetea na kutaka kuaminisha Watu kua

Alikiba kaisha na Anafos Bifu na Diamond ili Arud kwenye chat na kudai sasaiv Hasim wa Diamond ni Harmonize hahahaha

Harmonize kwa Kiba hatosh hata kwenye kiganja cha Mkono kuanzia Mafanikio Mashabiki Mpaka Hela na Dhambi

Kumringanisha Alikiba na Msanii mwenye Tuzo ya Ubao kutoka kwa sonara wa Mwanza Alio pewa na Hbaba uo ni uhuni

Huwez mringanisha msanii Ambae Anatuzo nyingi za kimataifa Anamashabiki wa Dam kabisa na mtu Ambae toka Ameanza kujita jeshi Anapiga show za Bure tu

Na kama Kutupa vijembe ni kutafuta back up basi Kiba amesha mpa back up Diamond kitambo baada ya Diamond kuimba diss track inayo muhusu Kiba

Pia ikumbukwe wasanii wenye Mafanikio Makubwa Tanzania ni Diamond Alikiba Sasa uyo mtu Wa chitohoi Ana Nini cha kuwekwa na Alikiba!????
Kwan ukubwa wa msanii unapimwa na nn?? Tuanzie hapo
 
Kiba katumia vip mgongo wa Mond au unaiongelea ushabiki Kwan alie Anza kumuimba mwenzake ni Nan?, Kati ya Kiba na Mond

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Alikiba huwa anatafta back up kwa chibu Kama unakumbukumbu vzr kipindi anarudi kwenye game mwaka 2014/2015 alianza kumsema mond kuwa Hana kipaji Mara alimfuta kwenye nyimbo yake na kuanzia hapo bifu likazaliwa upya na mond ndio akaanza kurusha vijembe.saivi Tena kaona Mambo yanachange ameamua kutafta backup Tena.huo ndio ukweli lakin mtakataa.
 
Back
Top Bottom