watu million 6 duniani kufariki kwa canser kutokana na sigara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watu million 6 duniani kufariki kwa canser kutokana na sigara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 13, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  inakdiriwa watu million 6 wanatarajiwa kufariki kutokana na maradhi ya cancer na hii ni kutokna na uvurtaji wa sigara...taasisi moja inayoshugulika na magonjwa ya binadamu imesema katika hao asilimia 70 wanatokea katika nchi zilizoendelea....juhudi kubwa zinzaitajika kuhamasisha watu kuona umuhimu wa kutovuta sigara na hili litasaidia sana jamii ....kwa upande wa africa inasemekana watu wengi wanakosa elimu ya sigara...na asilimia kubwa ya wavutaji wanavuta kwa minajili ya kupunguza stress za maisha badala ya kutumia njia mbadala...kwanza waafrica wanaitai kujua madhara ya uvuvtaji wa sigara....na njia mbadala ya kupunguza stress ya maisha
   
Loading...