Watu milioni moja wanavyoweza kusaidia ukaitwa bilionea

brightoscar

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
360
517
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi humu ndani, naombeni mawazo yenu kabla ya hatua ya pili..

next step kama mmependa hii idea na tunaweza kuifanyia implementation kwa pamoja naomba hiyo tsh1000 tu iwekwe kwenye 0682362310 asanteni
 
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi humu ndani, naombeni mawazo yenu kabla ya hatua ya pili..
Una jinsia gn?
 
Tunatuma wapi!? Mbona hata # ya simu wala a/c # hujaweka mkuu!!!

Upo serious??
 
Back
Top Bottom