MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Mwandishi mzuri ni jicho la tatu la wananchi, ndg Cyprian Musiba amekuwa ni jicho la tatu la jamii.
Kwa kazi yake ya uandishi na kufichua maovu ya wanasiasa imefikia mpaka hatua ya kutaka kupoteza maisha, amekataa kuwatumikia wanasiasa ambao hawakutaka habari zao ziende hewani.
ZZK mara kadhaa amemtishia hadharani lakini Musiba siku zote amesimamia misingi na maadili ya kazi yake hata kama ingemanishaa kwenda kufichwa chini ya ziwa Tanganyika,,ameyasema mabeberu,amewasema vibaraka wa mabeberu,amewataja watu wanaohatarisha usalama wa nchi kwa majina yao bila kuogopa.
mwaka 2019 sasa ni muda muafaka wa ndg yetu huyu kuchukua hii tuzo, BBC's Komla Dumor Award.