Watu makini tumeanza mchakato wa kuhakikisha Cyprian Musiba anapata tuzo ya Komla Dumor

Tuzo kama hiyo hawapewi waandishi wanaotumiwa na wasio makini. Asahau kabisa
 
Lile jamaa lina matatizo makubwa
Hivi umeliona lilivyo ungua uso?
Mimacho mekundu alafu vijipelepele around the eyes totally scary monster

Sent using Jamii Forums mobile app

Ungejadili mambo yake ya kisiasa hapo ndipo ungeeleweka mbele ya watu wenye akili lakini kumchafua mtu kulingana na afya yake inaonyesha "how inhuman you are"---- mtu hachukiwi kwa umbo lake bali mtu anachukiwa kwa matendo yake---- the dog is not hated being a dog but hated for its doggy.

Hatumchukii mtu kama mtu bali tunamchukia mtu kwa kutaka kupiga mashangazi zetu nk.

Wahenga walisema hujafa hujaumbika au usimtukane mamba kabla hujavuka mto, sisi sote ni wagonjwa watarajiwa despite our seemed present good healthy we never know what will overtake us just few hours to come let alone years to come. let's be humble in this case.
 
Mwandishi mzuri ni jicho la tatu la wananchi, ndg Cyprian Musiba amekuwa ni jicho la tatu la jamii.

Kwa kazi yake ya uandishi na kufichua maovu ya wanasiasa imefikia mpaka hatua ya kutaka kupoteza maisha, amekataa kuwatumikia wanasiasa ambao hawakutaka habari zao ziende hewani.

ZZK mara kadhaa amemtishia hadharani lakini Musiba siku zote amesimamia misingi na maadili ya kazi yake hata kama ingemanishaa kwenda kufichwa chini ya ziwa Tanganyika,,ameyasema mabeberu,amewasema vibaraka wa mabeberu,amewataja watu wanaohatarisha usalama wa nchi kwa majina yao bila kuogopa.

mwaka 2019 sasa ni muda muafaka wa ndg yetu huyu kuchukua hii tuzo, BBC's Komla Dumor Award.

View attachment 1022662View attachment 1022663
Ukute unajipigia promo mwenyewe maana sioni mtu mkini wa kukupigia promo

Aisee huyo mwandishi wa shetani anapata lini hiyo Tuzo, nadhani mtoaji wa Tuzo atakuwa ni pepo mkuu Belzebur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom