Watu maarufu nchini waliotutoka mwaka huu 2010.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,647
Wakati mwaka 2010 unaelekea ukingoni, sio mbaya tukawakumbuka baadhi ya ndugu zetu (maarufu) waliotutangulia kwa mwaka huu. RIP.

-
PWAGU.jpg

Mzee Pwagu - Aliyekuwa mwigizaji wa Kundi la Kaole.



nico%2Bbambaga.jpg

Nico Bambaga - aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Simba na Taifa stars.

Mkambi.bmp


Juma Mkambi 'Jenerali' (wa kwanza kushoto waliochuchumaa) - Alikuwa mchezaji wa Yanga na Taifa Stars.

S7301793.JPG

Pdidy -


SylisaidMziray(2).jpg

Syllesaid Mziray -Aliyekuwa kocha wa Simba na Taifa stars.

remmy.jpg

Dr. Remmy Ongala - Aliyekuwa mwanamuziki.



Tuliwapenda sana Nyie mmetangulia na sisi tutafuata.
RIP.

Wengine niliowasahau unaweza ukawongeza kwenye list..........................
 
Aristablus Elvis Musiba. Aliyekuwa mjasiriamali na mtunzi mweledi wa Riwaya za Njama, Kikosi cha Kisasi, Kufa na Kupona, Kikomo pamoja na Hofu. RIP!
 
Hivi yule kiongozi aliyeanguka jukwaani pale jangwani wakati wa ufunguzi wa kampeni hakufa eeh??
 
Na huyo aliyeandikwa P.Didy namuuliza aliyepost the same question atusaidie kwa pamoja

Huyo Pdidy inawezekana sio maarufu kiviile lakini kifo chake kini'make headilines ktk vyombo vingi vya habari nchini na hata humu JF pia.
 
Back
Top Bottom